MSEMAJI
Nini chura na tembo yu mtoni?Katu, ye hasemi,Atenda tuu,Tena usiku gizani,Si mwanga hata,Ila ye na jua hawapatani,Pengine hajali,Au ajua keshachelewaNa ishamfika ajali,Hii saa…Maumivuye makaliNaye...
View ArticleBetween hope and despair: my personal fight against Covid-19
https://www.coronatimes.net/hope-despair-personal-fight-covid-19/
View ArticleKilio Changu Kwako Rais Magufuli
Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano@MSalimuMheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako!...
View ArticleNAWAZA
Na Zuhura Yunus@venusnyotaNAWAZA kwa nini baadhi ya nchi za AFRIKA zinaona tabu kufanya LOCKDOWN au hata PARTIAL LOCKDOWN katika kupambana na janga la COVID-19?NAWAZA inakuwaje baadhi ya nchi nyingine...
View ArticleMaisha (Mbadala) Baada ya Korona Yatakuwaje?
Na Isaack Mdindile@Isaac29gNi kweli, lazima tutangulize siha ya moyo kabla ya silaha. Na silaha ya kwanza katika vita yoyote ile ni mawasiliano sawia. Sakramenti ya lugha ni muhimu sana. Lugha za...
View ArticleBuriani Balozi Mahiga Rafiki Yetu Waandishi Wa Habari
Na Zuhura Yunus@venusnyota“Mahiga wetu”. Huu ndio ujumbe wa mwanzo niliousoma kupitia simu yangu pindi tu nilipoamka. Si kawaida kwa Mariam Omar tunayefanya kazi pamoja BBC Swahili kuniandikia mapema...
View ArticleDaktari Bingwa wa Mapafu akizungumzia Kujifukiza - Kupiga Nyungu
Hiki ni kipande kutoka kwenye video ya mjadala uliofanyika Jumamosi ya Tarehe 2 Mwezi Mei na kuratibiwa na Dakta Frank Minja, hapa Dokta Elisha Osati, daktari wa masuala ya mapafu na mfumo wa upumuaji...
View ArticleKwako Marehemu Shangazi Zakia (Allah S.W akurehemu)
Na Baruani MshaleLengo la waraka huu ni kukupasha yaliyojiri huku duniani tangu ulipotangulia mbele za haki mnamo Jumamosi ya Aprili 25, 2020.Twazidi kumuomba Allah S.W akuondoshee adhabu ya kaburi...
View ArticleMjadala wa Madaktari Leo kuhusu Korona na Saikolojia
*Changamoto za Mahusiano katika Familia na Jamii: Janga la COVID-19*Habari TZ Diaspora na Nyumbani:Karibuni Jumamosi hii Mei 9, 2020 Kujiunga sajili hapa: https://bit.ly/2Ac3JGJSaa 11 jioni Afrika...
View ArticleWanasaikolojia Wajadili Changamoto za Kifamilia Wakati wa Korona
Hii ni sehemu ya kwanza ya mjadala wa Madokta Wanasaikolojia uliofanyika Jumamosi ya tarehe 9 Mei 2020 na kuratibiwa na Dokta Frank Minja, rejea:Changamoto za Mahusiano katika Familia na Jamii: Janga...
View ArticleWanasaikolojia Wajibu Maswali kuhusu Mahusiano Kipindi cha Korona
Hii ni sehemu ya pili ya mjadala wa Madokta Wanasaikolojia uliofanyika Jumamosi ya tarehe 9 Mei 2020 na kuratibiwa na Dokta Frank Minja, rejea:Changamoto za Mahusiano katika Familia na Jamii: Janga la...
View ArticleThe Underrated Mercy Anna Mengi
By Ezekiel Kamwaga@ezekiel_kamwagaTHE most famous Tanzanian billionaire, the late Reginald Abraham Mengi, was not rich in 1971. Actually, he had just returned to Tanzania after finishing his accounting...
View ArticleMada Moto Mubashara
https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZYqcOurqDorGNfa-crYe0z4eRCkHgl8sh6k
View ArticleCOVID-19 and the Limitations of Tanzania’s Economic Diplomacy
By Dastan Kweka@kwekakwekaTanzania’s foreign policy has seen a significant shift over the last two decades, from a multifaceted, globally focused and values-dominated framework of engagement, to a...
View ArticleURITHI WA FIKRA
Na Isaack Mdindile@Isaac29gNakumbuka kipindi nipo mdogo, siku nasherehekea kumbukumbu yangu ya kuzaliwa, kwa heka heka. Kwa shauku nilipendekeza kufanyike mabadiliko, kwamba tuachane na tuchane desturi...
View ArticlePrinceton Students on Coronavirus in Africa
http://piirs.princeton.edu/news/african-studies-certificate-students-discuss-covid-19-africa-new-podcast
View ArticleMjadala wa Wazi kuhusu Majaribio ya Dawa za Binadamu
Jiandikishe: https://princeton.zoom.us/webinar/register/WN_5WjxdSAFQG6g6emA1GF39Q
View Article