Hii ni sehemu ya pili ya mjadala wa Madokta Wanasaikolojia uliofanyika Jumamosi ya tarehe 9 Mei 2020 na kuratibiwa na Dokta Frank Minja, rejea:
Changamoto za Mahusiano katika Familia na Jamii: Janga la COVID-19
DICOTA na TUHEDA tuliendelea na majadiliano yetu kuhusu janga la Covid-19.
Sikiliza hapa: https://bit.ly/2WiKnZ2
Watoa Maada:
Dr. Donald Mlewa (CPsychol) - Wales, UK
Mr. Isaac Lema (Clinical Pyschologist) - Dar es Salaam, Tanzania
Dr. Lusajo Kajula, PhD (Psychology) - Dar es Salaam, Tanzania
Zawadi Sakapalla-Ukondwa, MBA - #DhibitiMlipuko Campaign Updates
Muongoza Mjadala: Dr. Frank Minja - Connecticut, USA