Tija ni filamu kuhusu maisha ya wahudumu wa afya ya jamii nchini Tanzania. Tunajua kuhusu mchango wa kazi zao kwenye afya lakini, je, tunajua kuhusu maisha na changamoto zao? Tazama kionjo: https://m.youtube.com/watch?v=l_VDq5lWoZc.
↧